Live Breaking News & Updates on Minister Of Constitution
Stay updated with breaking news from Minister of constitution. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Google Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa. Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake. Chanzo cha picha, CCM Maelezo ya picha, Kifungu cha 144 (e) cha Ilani ya taifa ya uchaguzi ya CCM ya 2015-2020, ilionyesha kuhusu kuendelezwa kwa mchakato wa Katiba mpya Tanzania ....
Serikali Yawajibu Wanaotaka Katiba Mpya udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Profesa Kabudi Aombwa Akalale Magereza "Ukimpeleka Kule Mtu Hana Hatia Huta Baki Salama" udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Washtakiwa 243 wakiri makosa, walipa fidia, faini Bilioni 35.07 udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Kamisheni ya Afrika haki za binadamu na watu yaipongeza Tanzania kwa miradi mikubwa ya maendeleo, umeme vijijini udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.