Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? : compar

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM?


Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM?
Rashid Abdallah
Chanzo cha picha, Google
Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa.
Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake.
Chanzo cha picha, CCM
Maelezo ya picha,
Kifungu cha 144 (e) cha Ilani ya taifa ya uchaguzi ya CCM ya 2015-2020, ilionyesha kuhusu kuendelezwa kwa mchakato wa Katiba mpya Tanzania

Related Keywords

Tanzania , Tanzanian , Jakaya Kikwete , Zitto Kabwe , It Commissiona Election , Constitution New Under Commission , Commissiona Changea Constitution , Office Alcohol , Parliament Special Constitution , Commissiona Election , Tanzania Minutes , Constitution New , President Retired Jakaya Kikwete , Samia Conclusion , President Samia Conclusion , Minister Of Constitution , President Samia , Judge Warioba , Lukewarm Quest , Plus It Commission , Tanzanian Quest , With Constitution , Council Main , Nation Ideology , New March , Vice Presidents , Selection Head , தான்சானியா , அலுவலகம் ஆல்கஹால் , ப்ரெஸிடெஂட் சாமியா , உடன் அரசியலமைப்பு , புதியது அணிவகுப்பு , துணை ப்ரெஸிடெஂட்ஸ் , தேர்தல் தலை ,

© 2025 Vimarsana