Live Breaking News & Updates on Central Banka Tanzania

Stay updated with breaking news from Central banka tanzania. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Habari Njema..BOT yatangaza nafuu mikopo sekta binafsi

Habari Njema..BOT yatangaza nafuu mikopo sekta binafsi
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Central Banka Tanzania , Central Bank , Information Good , Have Set , Replacement Her , Elite Chairman , Banks Tanzania , With Step , மைய வங்கி , வேண்டும் அமை , உடன் படி ,

Tanzania yazindua mtambo mkubwa zaidi Afrika Mashariki wa kusafisha dhahabu


Tanzania yazindua mtambo mkubwa zaidi Afrika Mashariki wa kusafisha dhahabu
David Nkya
Saa 9 zilizopita
Rais wa Tanzania Bi. Samia Suluhu amezindua leo kiwanda cha kusafisha dhahabu jijini Mwanza kinachoitwa Mwanza Precious Metals Refinery.
Kiwanda hicho chenye thamani ys Bilioni 12.2 za Kitanzania sawa na dola za Kimarekani milioni 5.2 katika uwekezaji wake kitasafisha dhahabu yote ya Tanzania.
Aidha kiwanda hiki kinatajwa kuwa kikubwa zaidi kuliko vyote Afrika Mashariki na kazi yake kubwa itakuwa kusafisha dhahabu za kimataifa.
Kwa siku moja kiwanda kina uwezo wa kusafirisha dhahabu kilo 480 na zinaweza kuongezeka mpaka kufika kilo 960 kwa siku katika kiwango cha juu kabisa cha kimataifa, yaani dhahabu ya Tanzania itasafishwa kwa asilimia 99. 9 ambayo ni karibu 100% . ....

Central Banka Tanzania , Organization Mineral Nation , Central Bank , South East , Nkya English Hours , Samia Conclusion , President Samia , Have Shown , Joint Venture , Tanzania Samia Conclusion , City Beginning , Nevertheless The President Samia , About Issue , Minister Sat , Presently Tanzania , மைய வங்கி , தெற்கு கிழக்கு , ப்ரெஸிடெஂட் சாமியா , வேண்டும் காட்டப்பட்டுள்ளது , கூட்டு துணிகர , நகரம் ஆரம்பம் ,