Tathmini ya hotuba ya Rais Samia katika Baraza Kuu la UN | IDHAA YA KISWAHILI | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Rais Magufuli hakufanya hata ziara moja nchi za ng'ambo na alikuwa akisisitiza kwamba yeye kwake kipaumbele kilikuwa kushughulikia maendeleo ya taifa hilo.
Siasa za Tanzania: Je! matamshi ya waziri Simbachawene wa Tanzania ya kudhibiti matumizi ya mitandao huenda yakadumaza uhuru wa kutoa maoni? bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Kauli yake ni ya kisiasa zaidi, imebeba maneno yenye kuashiria kana kwamba ana uhakika na ushindi. Ingawa hilo ni kawaida panapohusika tambo za kisiasa. Hatima ya tambo hizo huwa ni kura kisandukuni.
IMF yaikopesha Tanzania dola milioni 567 kupambana na COVID-19 voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.