Commissiona Election News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Commissiona election. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Commissiona Election Today - Breaking & Trending Today

Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM?


Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM?
Rashid Abdallah
Chanzo cha picha, Google
Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa.
Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake.
Chanzo cha picha, CCM
Maelezo ya picha,
Kifungu cha 144 (e) cha Ilani ya taifa ya uchaguzi ya CCM ya 2015-2020, ilionyesha kuhusu kuendelezwa kwa mchakato wa Katiba mpya Tanzania ....

Jakaya Kikwete , Zitto Kabwe , It Commissiona Election , Constitution New Under Commission , Commissiona Changea Constitution , Office Alcohol , Parliament Special Constitution , Commissiona Election , Tanzania Minutes , Constitution New , President Retired Jakaya Kikwete , Samia Conclusion , President Samia Conclusion , Minister Of Constitution , President Samia , Judge Warioba , Lukewarm Quest , Plus It Commission , Tanzanian Quest , With Constitution , Council Main , Nation Ideology , New March , Vice Presidents , Selection Head , அலுவலகம் ஆல்கஹால் ,

Ethiopia: Chama cha PP cha Abiy Ahmed chashinda uchaguzi | Matukio ya Afrika | DW


Ethiopia: Chama cha PP cha Abiy Ahmed chashinda uchaguzi
Tume ya uchaguzi ya Ethiopia imetangaza ushindi wa chama cha PP ambao umemhakikishia Abiy Ahmed muhula mwingine wa miaka mitano madarakani.
Chama cha Prosperity (PP) cha Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed kimeshinda viti vingi katika uchaguzi wa bunge la Ethiopia. Waziri Mkuu Abiy Ahmed na chama chake kipya cha PP walitangazwa kushinda kwa kishindo na tume ya uchaguzi katika hafla iliyofanyika kwenye mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.
Abiy amepongeza uchaguzi huo ambapo raia wa Ethiopia walipiga kura mnamo tarehe 21 Juni. Amesema huo ni uchaguzi wa kwanza huru na wa haki kufanyika baada ya miongo kadhaa ya utawala wa ukandamizaji. ....

Commissiona Election , Prime Ministers , Her New , New Citizens , New Meanwhile Commission , Province Dispute , Province Read , ப்ரைம் அமைச்சர்கள் , அவள் புதியது , புதியது குடிமக்கள் ,

Mchakato wa BBI wa kutaka kuifanyia marekebisho katiba ya Kenya si halali

Mchakato wa BBI wa kutaka kuifanyia marekebisho katiba ya Kenya si halali
voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Nairobi Area , Raila Odinga , Senate Lusaka , Commissiona Election , President Freedom Kenyatta , Grass Call , There God , God Kenya , Thursday Goes , நைரோபி பரப்பளவு , அங்கே இறைவன் ,

Benin wafanya uchaguzi kukiwa na wasiwasi | Matukio ya Afrika | DW

Benin wafanya uchaguzi kukiwa na wasiwasi | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Marxa Lenin , Commissiona Election , Placard The President Patrice , Results Expected , முடிவுகள் எதிர்பார்க்கப்படுகிறது ,

Ombi la Bobi Wine kuondoa kesi ya uchaguzi laahirishwa

Ombi la Bobi Wine kuondoa kesi ya uchaguzi laahirishwa
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Commissiona Election , President Museveni , Chief Justice , Listen Song There Below Ace , தலைமை நீதி ,