Judge Warioba News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana
Stay updated with breaking news from Judge warioba. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Top News In Judge Warioba Today - Breaking & Trending Today
Tanzania: What Ex Leaders Say About Lowassa allafrica.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from allafrica.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
The agreement concerning economic and social partnership for the development and improvement of ports in Tanzania was signed on October 25, last year. ....
Je, katiba ya sasa inatoa nafuu ya kisiasa kwa CCM? Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Google Mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ulianza rasmi mwaka 2011 wakati wa utawala wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Miaka mitatu baadaye yaani mwaka 2014, wakati huo Kikwete akimalizia muda wake madarakani mchakato huo ulikwama ukiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji kura wa katiba inayopendekezwa. Wengi walidhani baada ya kuingia madarakani mwendazake John Pombe Magufuli, mchakato huu ungepewa kipaumbele lakini mbele ya waandishi wa habari alieleza katiba mpya haikuwa kipaumbele cha utawala wake. Chanzo cha picha, CCM Maelezo ya picha, Kifungu cha 144 (e) cha Ilani ya taifa ya uchaguzi ya CCM ya 2015-2020, ilionyesha kuhusu kuendelezwa kwa mchakato wa Katiba mpya Tanzania ....
Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania | Masuala ya Jamii | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.