comparemela.com

Latest Breaking News On - ஜூலை நிமிடங்கள் - Page 1 : comparemela.com

UK July CPI reading back at target while Eurozone confirms move back above it

Iraq:Baada ya kuondoka Afghanistan,Marekani sasa yapanga kuondoa majeshi yake Iraq

Iraq:Baada ya kuondoka Afghanistan,Marekani sasa yapanga kuondoa majeshi yake Iraq 27 Julai 2021, 05:59 EAT Chanzo cha picha, ANADOLU AGENCY Rais wa Marekani Joe Biden anasema vikosi vya Marekani vitamaliza misheni yao ya mapigano nchini Iraq ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, lakini wataendelea kutoa mafunzo na kuwashauri wanajeshi wa Iraq. Tangazo hilo lilikuja baada ya Bwana Biden kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al-Kadhimi katika Ikulu ya White House. Hivi sasa kuna wanajeshi 2,500 wa Marekani nchini Iraq wakisaidia vikosi vya nchi hiyo kukabiliana na wapiganaji waliobaki wa kundi la Islamic State. Idadi ya wanajeshi wa Marekani inaweza kusalia jinsi ilivyo lakini hatua hiyo inaonekana kama jaribio la kumsaidia Waziri Mkuu wa Iraq.

Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi

Wake wa marais: Mfahamu mke wa rais wa DRC Denise Nyakeru Nkana Tshisekedi Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Denise Nyakeru/Facebook Maelezo ya picha, Hadithi ya maisha ya Bi Denise Tshisekedi imekuwa na kusikitisha kwa upande mmoja na upande mwingine ya kutia moyo Ni watu wenye ushawishi katika uongozi wa kila siku wa nchi zao, hata hivyo si kila siku utasikia juu ya maisha yao na vipawa vyao. Hawa ni wenza wa marais, ambao baadhi yao ni wanasiasa na wanaharakati ambao wamekuwa bega kwa bega katika safari za kisiasa za wenza wao mpaka kushika hatamu za madaraka. Wiki hii tunakuletea mfululizo wa makala kuhusu wenza wa marais katika eneo la Afrika Mashariki na Maziwa Makuu ambapo leo

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23 07 2021: Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.07.2021: Jadon Sancho ,Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka 23 Julai 2021, 06:45 EAT Chanzo cha picha, Getty Images Winga wa Uingereza Jadon Sancho anasema kujiunga na Manchester United ni ndoto inayotimia baada ya kumaliza uhamisho wake wa pauni milioni 73 kutoka Borussia Dortmund. Sancho ndiye mchezaji wa pili mwenye gharama ya juu zaidi wa England wakati wakati wote nyuma ya mwenzake mpya wa United Harry Maguire. Anajiunga na United kwa mkataba wa miaka mitano. Nitashukuru Dortmund kila mara kwa kunipa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, ingawa siku zote nilijua kwamba nitarudi England, Sancho, 21, alisema Nafasi ya kujiunga na Manchester United ni ndoto iliyotimia na siwezi kungojea kunawiri kwenye Ligi ya Premia.

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.