Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 26.07.2021: Halaand, Raphael Varane, Saul Niguez, Erik Lamela
26 Julai 2021, 06:25 EAT
Chanzo cha picha, Reuters
Manchester United inafikiria kumtumia mshambuliaji wake Anthony Martial 25, katika mpango wa kubadilishana wachezaji ili kumnunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Halaand 21. (Mundo Deportivo, via 90min)
United pia wanaweza kumsajili kiungo wa hispania Saul Niguez kutoka kwa mabingwa wa La Liga Atletico Madrid kwa dau la £45m. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anahusishwa pia na vilabu vya Barcelona na Juventus. (Mail)
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Raphael Varane
Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na Real Madrid kwa ajili ya kumsajili mlinzi wa Ufaransa Raphael Varane, 28, kwa dau la £42m. (Marca)
Tetesi za soka Ulaya Jumapili tarehe 25 07 2021 : Federico Chiesa, Joaquin Correa, Anthony Martial, Paul Pogba
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano 30 06 2021: Grealish, Ronaldo, Rabiot, Xhaka, Harrison, Abraham
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 29 06 2021: Ramos, Bale, Camavinga, Patricio, Belotti, Gilmour, Greenwood
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.