Page 4 - Series Of Surrounding News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Series of surrounding. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Series Of Surrounding Today - Breaking & Trending Today

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.07.2021: Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka


Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.07.2021: Jadon Sancho ,Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka
23 Julai 2021, 06:45 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Winga wa Uingereza Jadon Sancho anasema kujiunga na Manchester United ni ndoto inayotimia baada ya kumaliza uhamisho wake wa pauni milioni 73 kutoka Borussia Dortmund.
Sancho ndiye mchezaji wa pili mwenye gharama ya juu zaidi wa England wakati wakati wote nyuma ya mwenzake mpya wa United Harry Maguire.
Anajiunga na United kwa mkataba wa miaka mitano.
Nitashukuru Dortmund kila mara kwa kunipa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, ingawa siku zote nilijua kwamba nitarudi England, Sancho, 21, alisema
Nafasi ya kujiunga na Manchester United ni ndoto iliyotimia na siwezi kungojea kunawiri kwenye Ligi ya Premia. ....

Ar Riya , Saudi Arabia , United Kingdom , Club It , Ita League Maina Quest , Soccer Europe Friday , Not Vizard , Algeria Riyadh , Portugal Silver , United Kingdom Deny , France Quest , League Main , Series Of Surrounding , Gaston Goes , July Information , July Minutes , சவுதி அரேபியா , ஒன்றுபட்டது கிஂக்டம் , சங்கம் அது , போர்சுகல் வெள்ளி , ஜூலை நிமிடங்கள் ,

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.07.2021: Lacazette, Saul, Locatelli, Haaland, Hudson-Odoi, Coman, Jesus, Ronaldo


Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.07.2021: Lacazette, Saul, Locatelli, Haaland, Hudson-Odoi, Coman, Jesus, Ronaldo
19 Julai 2021, 06:32 EAT
Juventus italazimika kulipa £43m ili kumpata mashambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus kutoka Manchester City. Klabu hiyo ya Serie A imempata mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye amesalia na miaka miwili katika kandarasi yake . (Calciomercato - in Italian)
Arsenal inataka kumuuza mshambuliaji wake Alexandre Lacazette, 30, ili kupata fedha za usajili katika dirisha la uhamisho la msimu ujao.. (Mirror)
Inter Milan inataka kumsajili beki wa PSV Eindhoven Denzel Dumfries lakini inaweza kumnunua kwa mkopo mchezaji huyo wa Uholanzi. (Calciomercato - in Italian)
Hakujakuwa na habari yoyote mpya kuhusu uhamisho wa Saul Niguez kutoka Atletico Madrid kuelekea Barcelona na kiungo huyo wa Uhispania amekuwa akiwasiliana na klabu kadhaa huku akitarajiwa kujiunga na Liverpool au Manchester United (AS - in Spanish) ....

Leaguea New , Club Ita Series , Club It , Europe Monday , Bayern Munich , England Andros , Series Of Surrounding , New January , July Chat , சங்கம் அது , யூரோப் திங்கட்கிழமை , பேயர்ன் முனிச் , புதியது ஜனவரி ,

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 09.07.2021: Traore, Bellerin, Pogba, Olsen, Lenglet


Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 09.07.2021: Leonardo Bonucci,Traore, England,Italy, Pogba, Olsen, Lenglet,Euro 2020,Wembley
9 Julai 2021, 06:53 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Paul Pogba
Leonardo Bonucci anasema Italia haiogopi kushiriki fainali ya Euro 2020 kwenye ardhi ya Uingereza wakati pande hizo mbili zitapambana Jumapili.
Italia iliifunga Uhispania kwa mikwaju ya penati baada ya nusu fainali ya kuvutia kwenye Uwanja wa Wembley uliokuwa na vurugu Jumanne.
Ingawa kutakuwa na umati wa Waingereza, itatupa motisha zaidi, Bonucci alisema.
Mashabiki wapatao 1,000 wa Italia wataruhusiwa ndani ya Wembley kutazama mchezo huo.
Paris St-Germain wanaamimi kwamba watamnasa Paul Pogba kwa bei chee ya £50m wakati huu wakiendelea kutupa ndoano zao kujaribu kumnasa kiungo huyo wa Manchester United na Ufaransa. (Star) ....

June July , Jurgen Klopp , Olivier Giroud , Soccer Europe Friday , Werder Bremen , Chelsea France Olivier Giroud , Series Of Surrounding , Bayern Munich , June July Information , July Chat , ஜூன் ஜூலை , ஜூர்கன் கிலொபப் , ஆலிவர் கீரொத் , வர்டர் ப்ரெமன் , பேயர்ன் முனிச் ,

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 05.07.2021: Pjanic, Umtiti, Ronaldo, Mendy, Ryan, Willock


Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 05.07.2021: Insigne ,Pjanic, Umtiti, Ronaldo, Mendy, Ryan, Willock
5 Julai 2021, 06:50 EAT
Imeboreshwa Saa 4 zilizopita
Chanzo cha picha, Getty Images
Tottenham na Barcelona zina hamu ya kumsajili nahodha wa klabu ya Napoli Lorenzo Insigne , ambaye amekuwa nyota wa Itali katika michuano ya Euro 2020 inayoendelea , huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 akiwa bado hajaongeza kandarasi yake inayokamilika 2022. (Corriere dello Sport - in Italian)
Pjanic anahusishwa na uhamisho wa kuelekea Tottenham, ambao wanaotaka kumsaini kuwapiku Manchester United wanaomuhusudu kwa muda mrefu kiungo huyo. (Express)
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Cristiano Ronaldo
Wakala wa Cristiano Ronaldo Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea kukipigia klabu hiyo ya Serie A mpaka mwaka 2023. Hivyo kl ....

Vita League , Europe Monday , Series Of Surrounding , Manager Ronald , Brazil Coutinho , Landing Sociedad , English Joe , இட்ட லீக் , யூரோப் திங்கட்கிழமை ,