Ita League Maina Quest News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Ita league maina quest. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Ita League Maina Quest Today - Breaking & Trending Today

Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.07.2021: Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka


Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.07.2021: Jadon Sancho ,Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka
23 Julai 2021, 06:45 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Winga wa Uingereza Jadon Sancho anasema kujiunga na Manchester United ni ndoto inayotimia baada ya kumaliza uhamisho wake wa pauni milioni 73 kutoka Borussia Dortmund.
Sancho ndiye mchezaji wa pili mwenye gharama ya juu zaidi wa England wakati wakati wote nyuma ya mwenzake mpya wa United Harry Maguire.
Anajiunga na United kwa mkataba wa miaka mitano.
Nitashukuru Dortmund kila mara kwa kunipa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, ingawa siku zote nilijua kwamba nitarudi England, Sancho, 21, alisema
Nafasi ya kujiunga na Manchester United ni ndoto iliyotimia na siwezi kungojea kunawiri kwenye Ligi ya Premia. ....

Ar Riya , Saudi Arabia , United Kingdom , Club It , Ita League Maina Quest , Soccer Europe Friday , Not Vizard , Algeria Riyadh , Portugal Silver , United Kingdom Deny , France Quest , League Main , Series Of Surrounding , Gaston Goes , July Information , July Minutes , சவுதி அரேபியா , ஒன்றுபட்டது கிஂக்டம் , சங்கம் அது , போர்சுகல் வெள்ளி , ஜூலை நிமிடங்கள் ,