Manager Ronald News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Manager ronald. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Manager Ronald Today - Breaking & Trending Today

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 05.07.2021: Pjanic, Umtiti, Ronaldo, Mendy, Ryan, Willock


Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 05.07.2021: Insigne ,Pjanic, Umtiti, Ronaldo, Mendy, Ryan, Willock
5 Julai 2021, 06:50 EAT
Imeboreshwa Saa 4 zilizopita
Chanzo cha picha, Getty Images
Tottenham na Barcelona zina hamu ya kumsajili nahodha wa klabu ya Napoli Lorenzo Insigne , ambaye amekuwa nyota wa Itali katika michuano ya Euro 2020 inayoendelea , huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 akiwa bado hajaongeza kandarasi yake inayokamilika 2022. (Corriere dello Sport - in Italian)
Pjanic anahusishwa na uhamisho wa kuelekea Tottenham, ambao wanaotaka kumsaini kuwapiku Manchester United wanaomuhusudu kwa muda mrefu kiungo huyo. (Express)
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Cristiano Ronaldo
Wakala wa Cristiano Ronaldo Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea kukipigia klabu hiyo ya Serie A mpaka mwaka 2023. Hivyo kl ....

Vita League , Europe Monday , Series Of Surrounding , Manager Ronald , Brazil Coutinho , Landing Sociedad , English Joe , இட்ட லீக் , யூரோப் திங்கட்கிழமை ,