Seats Special News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana
Stay updated with breaking news from Seats special. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Top News In Seats Special Today - Breaking & Trending Today
Msajili wa Vyama Vya Siasa ataka Chadema Waeleze Sababu ya Kuwafukuza Kina Mdee udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) Taifa, Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitabadili msimamo wake wa kumfukuza Halima Mdee na wenzake 18.Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Mbowe ametoa msimamo huo jana tarehe 6 Julai 2021, katika ziara yake ya kikazi visiwani Pemba, Zanzibar. Ikiwa zimesalia siku kadhaa kwa Baraza Kuu la Chadema, kuketi kwa ajili ya kujadili maombi ya rufaa zao, wawaliyowasilisha kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama. Baraza hilo linatarajiwa kuitishwa Julai 2021. “Wanasema kwamba kile chama cha msimamo, sasa kwa sababu kuna wabunge 19 wa viti maalumu, tubadilishe misimamo yetu ili wale kina mama wakawe wabunge, hapana. Sio Chadema inayoongozwa na Mbowe, nimekataa,” amesema Mbowe. ....
Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa wanakosoa hadharani baadhi ya kasoro na makosa yaliyokuwa yakifanywa na serikali wakati wa utawala wa Rais John Magufuli ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama tawala. ....
Siku 100 za Rais Samia Suluhu: Fahamu changamoto za Rais Samia katika kufanya mabadiliko ya kijinsia bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Temitope Balogun Joshua: Vifo vya wachungaji na wainjilisti wa televisheni na mitandao vilivyogusa mioyo ya wengi bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.