comparemela.com

Latest Breaking News On - Council youth chadema - Page 1 : comparemela.com

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi

Mbeya: Makada wa Chadema Wadaiwa Kukamatwa na Polisi
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Breaking News: Mbowe Afikishwa Mahakamani

TLS yaingilia kati sakata la Mbowe

Polisi wavunja mkutano wa Chadema, 30 wakamatwa

HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limevunja mkutano wa kujadili Katiba Mpya ulioandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) pamoja na kuwakamata makada 30 kwa madai ya kufanya mkutano wa hadhara bila kibali. Hata hivyo, Chadema wamepinga madai hayo ya kufanya mkutano wa hadhara, wakisema ulikuwa in mkutano wa ndani ambao kwa utaratibu hauhitaji kibali cha Polisi. Akizungumza kwa simu leo Jumamosi Julai 17,2021, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng anzi alisema wamevunja mkutano huo kwa kuwa haukuwa na kibali. Ni kweli tumezuia mkutano ulioandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema kwa ajili ya kudai Katiba mpya kwa kuwa hawakutoa taarifa Polisi na sisi kuwaruhusu kufanya mkutano huo, alisema Kamanda Ng anzi.

Mbowe apigilia msumari wa mwisho sakata la Mdee na wenzake

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) Taifa, Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitabadili msimamo wake wa kumfukuza Halima Mdee na wenzake 18.Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Mbowe ametoa msimamo huo jana tarehe 6 Julai 2021, katika ziara yake ya kikazi visiwani Pemba, Zanzibar. Ikiwa zimesalia siku kadhaa kwa Baraza Kuu la Chadema, kuketi kwa ajili ya kujadili maombi ya rufaa zao, wawaliyowasilisha kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama. Baraza hilo linatarajiwa kuitishwa Julai 2021. “Wanasema kwamba kile chama cha msimamo, sasa kwa sababu kuna wabunge 19 wa viti maalumu,  tubadilishe misimamo yetu ili wale kina mama wakawe wabunge, hapana.  Sio Chadema inayoongozwa na Mbowe,  nimekataa,” amesema Mbowe.

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.