Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) Taifa, Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitabadili msimamo wake wa kumfukuza Halima Mdee na wenzake 18.Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea).
Mbowe ametoa msimamo huo jana tarehe 6 Julai 2021, katika ziara yake ya kikazi visiwani Pemba, Zanzibar.
Ikiwa zimesalia siku kadhaa kwa Baraza Kuu la Chadema, kuketi kwa ajili ya kujadili maombi ya rufaa zao, wawaliyowasilisha kupinga uamuzi wa chama hicho kuwavua uanachama. Baraza hilo linatarajiwa kuitishwa Julai 2021.
“Wanasema kwamba kile chama cha msimamo, sasa kwa sababu kuna wabunge 19 wa viti maalumu, tubadilishe misimamo yetu ili wale kina mama wakawe wabunge, hapana. Sio Chadema inayoongozwa na Mbowe, nimekataa,” amesema Mbowe.
NEC yajibu vikwazo vya Marekani | Jisomee Habari za Udaku, Siasa, Mapenzi na Michezo
udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Uchaguzi Uganda 2021: Upi mustakabali wa Bobi Wine baada ya kushindwa uchaguzi?
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Uchaguzi Tanzania 2020: Uchaguzi ulioacha maswali mengi kuliko majibu
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.