Stay updated with breaking news from Communitya south. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Burundi imekuwa nchi ya kwanza kupeleka wanajeshi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia uamuzi wa hivi karibuni wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa kuanzisha kikosi cha pamoja dhidi ya waasi. Je, kikosi hicho ndio suluhu ya tatizo la ukosefu wa usalama mashariki mwa Kongo? Kwenye Kinagaubaga, Saleh Mwanamilongo amezungumza na Robert Seninga, Spika wa bunge la jimbo ya Kivu ya Kaskazini. ....
Biashara katika Jumuiya ya Afrika Mashariki imeshuka | Matukio ya Afrika | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tanzania:Uchumi wa Tanzania umestahimili vipi athari za corona? bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Bishara yaimarika Jumuiya ya EAC licha ya COVID19 | Matukio ya Afrika | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Mojawapo ya taarifa kubwa zinazoendelea kugonga sana vichwa vya habari kuhusu Tanzania tokea Machi 2020 ni kuhusu maambukizi ya Corona (Covid-19) janga lililoikumba dunia kwa jumla. Chanzo cha kumulikwa taifa hilo la Afrika Mashariki ni msimamo wa aliyekuwa Rais wake John Pombe Joseph Maguful ....