Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Antonia Guterres Alhamisi alilieleza baraza la usalama la Umoja huo kwamba mzozo wa Ethiopia umeenea na kuvuka mipaka ya jimbo la kaskazini la Tigray na kwamba, “janga la kibinadamu linajitokeza mbele ya macho yetu." ....