Page 7 - Shabari Jayanti News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana
Stay updated with breaking news from Shabari jayanti. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Top News In Shabari Jayanti Today - Breaking & Trending Today
Shirika la ndege la Afrika kusini ambalo siku za hivi karibuni lilibinafsishwa katika juhudi za kuliokoa lisifilisike, Jumatano limesema litaanzisha tena safari zake mwezi Septemba. ....
Waziri mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok Alhamisi amewasili Juba kwa ziara ya siku mbili kwa mazungumzo yenye lengo la kuboresha juhudi za amani nchini Sudan Kusini, huku kukiwa na mzozo wa kisiasa ambao ulimuondoa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, kama kiongozi wa upinzani. ....
Mkuu wa shirika la wanawake la Umoja wa mataifa anayeondoka, Phumzile Mlambo Ngcuka ana matumaini kuwa katika kipindi cha miaka 5, dola bilioni 40 zilizoahidiwa zitasaidia karibuni kuhamasisha usawa wa jinsia. ....
Kufuatia kuondoka kwa Umoja wa Soviet kutoka Afghanistan mwaka 1989 na hatimaye kuanguka kwa serikali ya Afghanistan, nchi hiyo ilitumbukia katika vita vya wenyewe kawa wenyewe. Taliban walipata msaada wakiahidi kurejesha utulivu na haki. Mwaka 1994, walichukua udhibiti wa mji wa Kandahar. ....