Minister Teacher News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from Minister teacher. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In Minister Teacher Today - Breaking & Trending Today

Waziri Ummy Mwalimu atoa siku 7 kwa vyombo vya usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi watatu Mpwapwa


Waziri Ummy Mwalimu atoa siku 7 kwa vyombo vya usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi watatu Mpwapwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi 3 waliofariki kwa kufunikwa na kifusi katika Shule ya Msingi Mbori, Kata ya Motondo Wilayani Mpwapwa.
Wakati huo huo Mhe. Ummy amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kuwaondoa Walimu wote wa shule ya Msingi Mbori kupisha uchunguzi unaondelea.
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo wakati aliposhiriki kuaga Miili ya wanafunzi 3 waliofariki kwenye ajali ya kufukiwa na Mchanga katika shule ya Msingi Mbori tarehe 27.07.2021. ....

Teachersa Committee , Infrastructurea Schoola Parents , Country Bureau , Sand In School , Headmen School , Minister Teacher , Local Government Hon , School Primary , District Mpwapwa , Question In School Primary , Role Construction , Him Head , Mpwapwa Hon , Isaiah Not Mis , Event Children , நாடு பணியகம் , பள்ளி ப்ரைமரீ , அவரை தலை ,