Page 3 - July Information News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from July information. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In July Information Today - Breaking & Trending Today

Zifahamu mechi za soka, zilizohusisha magoli mengi zaidi duniani

Zifahamu mechi za soka, zilizohusisha magoli mengi zaidi duniani
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

United Kingdom , Leaguea New , League It , Union Rangers , Leaguea Region , City West , New November , July Information , ஒன்றுபட்டது கிஂக்டம் , லீக் அது , நகரம் மேற்கு , புதியது நவம்பர் ,

Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban


Ghasia za Afrika Kusini:Ndani ya wiki ya machafuko na uporaji jijini Durban
29 Julai 2021
Chanzo cha picha, AFP
Wiki mbili baada ya Afrika Kusini kukumbwa na wimbi la ghasia na uporaji - matukio mabaya zaidi ya vurugu tangu ujio wa demokrasia mnamo 1994 - vizuizi vya muda mfupi na majaa ya takataka katika jiji la bandari la Durban vimeondolewa.
Lakini wanajeshi wanaendelea kufanya doria katika vitongoji vilivyoharibiwa na wiki ya machafuko ambayo iliwaacha watu zaidi ya 300 wakiwa wamekufa.
Kila kitu kimeenda. Sina bima. Nina wasiwasi juu ya siku zijazo za Afrika Kusini. Nina wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wangu, alisema mjasiriamali Dawn Shabalala, ambaye maduka yake manne madogo yaliporwa - hadi bomba la maji na nyaya za umeme ....

Holocaust Violence , Minister Of Police , Was Sent , Driver Lit , Scar Her , They Failed , Master Zuma , Blacks South , July Information , அமைச்சர் ஆஃப் போலீஸ் , இருந்தது அனுப்பப்பட்டது , அவர்கள் தோல்வி ,

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 28.07.2021:Kounde, Zouma, Haaland, Grealish, Traore, Martinez, Pogba

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 28.07.2021:Kounde, Zouma, Haaland, Grealish, Traore, Martinez, Pogba
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Cluba League , Europe Wednesday , Series Of Surrounding , Portuguese Fabio Silver , English Joe , July Information , யூரோப் புதன்கிழமை ,

Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu


Usain Bolt:Raia wa Jamaica ambaye kasi yake iliushangaza ulimwengu
26 Julai 2021, 07:23 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Ni wanamichezo ambao uwezo,talanta na rekodi zao zitasalia katika kumbukumbu za historia kwa muda mrefu .Wengine wameshastaafu lakini wenzao bado wapo katika tasnia ya michezo.Wikii hii tunakupakulia safari za wanamichezo wa kipekee ambao wameng ara na kuacha mifano ya kuigwa katika aina mbali mbali ya michezo.Leo tunamuangazia Usain Bolt anayeshikilia rekodi ya dunia ya mbio za mita 100 na 200 na mtu mwenye kasi Zaidi duniani .
Watu wengi wanajua kuwa Usain Bolt ndiye mwanadamu mwenye kasi zaidi duniani.
Lakini sio watu wengi wanaojua jinsi mwanariadha huyo alivyoanza safari yake kufika kilele cha taaluma yake ,akiusisimua ulimwengu mzima kwa rekodi nyingi alizovunja na matumaini ya watoto wengi waliokuwa wakimtazama ,kumfuatlia na hata kutaka kuwa kama yeye . ....

School Primary , Mission Her It , Peripheral Her , Feet Her , Strip Her , Germany Borussia , Success Her , That Was , July Information , பள்ளி ப்ரைமரீ , அந்த இருந்தது ,