comparemela.com

Latest Breaking News On - Shabari - Page 2 : comparemela.com

Misri na Marekani zakubaliana kuimarishwa uchaguzi wa Libya

Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Misri mjini Cairo, inaeleza kwamba Rais el-Sisi na Sullivan walizungumzia pia suala la ujenzi wa Ukanda wa Gaza, mvutano kuhusu bwawa la Ethiopia kwenye mto wa Blue Nile Gerd uhusiano kati ya Marekani na Misri na hali nchini Tunisia Yemen na Iraq. 

Saudi-arabia
Egypt
South-north
Shabari
Afrika
Goa
Oaswahili
Ais
Eisri
Abdel-fattah-el-sisi
Shauri

Wananchi wengi wa Tunisia wafurahia kuteuliwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke

Mwanamke asiyefahamika katika siasa za Tunisia, Najla Bouden ateuliwa waziri mkuu mpya, jambo linalowafurahisha wengi, lakini wachambuzi wahoji ikiwa ataweza kukabiliana na matatizo makubwa ya kisiasa yanayoikumba Tunisia.

France
Office-her
Prime-ministers
Banks-world
New-office
Shabari
Afrika
Bunia
Tunisia
Kais-saied
Najla-bouden-ramadhane

Ramaphosa aidhinisha kutolewa ripoti ya kashfa ya COVID

Uchunguzi huo umegundua kwamba mkataba uliotolewa kwa kampuni ya Digital Vibes haukuwa sahihi na maafisa wa juu wamefaidika kutokana na baadhi ya pesa zilizolipwa na kampuni hiyo.

Ministriesa-health
New-july
Director-head
Shabari
Afrika
Afrika-kusini
Goa
Oaswahili
Ais
Cyril-ramaphosa
Ashfa

Mexico yaanza kurejesha wahamiaji nchini Haiti

Maelfu wengine wamekwama kwenye mji wa kusini wa Tapachula karibu na mpaka wa Guatemala wakati wakisubiri majibu kutokana na maombi yao ya hifadhi nchini Mexico kutoka kwa maafisa wa uhamiaji wa taifa hilo.

Manuel-lopez
Tamaulipas
Mexico
Department-it
Wednesday-goes
Mexico-manuel-lopez
Shabari
Bunia
Ahamiaji
Haiti

Kundi la kijeshi la Guinea kutangaza mikakati kuelekea utawala wa kiraia

Kundi la kijeshi lililofanya mapinduzi kwenye taifa la Afrika magharibi la Guinea Jumanne limetoa wakaraka unaoahidi kurejesha taifa hilo kwenye utawala wa kiraia.

Constitution-new
September-office
Shabari
Afrika

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.