comparemela.com

Latest Breaking News On - Shabari - Page 1 : comparemela.com

Kenya yavunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Sahrawi

Rais mpya wa Kenya William Ruto alisema Jumatano kwamba nchi hiyo ya Afrika Mashariki imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahrawi (SADR) inayozozaniwa katika Sahara Magharibi, baada ya kufanya mazungumzo na Morocco.

Nairobi
Nairobi-area
Kenya
Algeria
Spain
Spanish
King-mohammed
Interior-minister-outside
President-ruto
Shabari

Jumuia ya kimataifa yaombwa kutoa chanjo ya Monkeypox kwa Afrika

Wakati visa vya maambukizi ya Monkeypox vikiendelea kushuka kwenye mataifa ya Ulaya pamoja na Marekani, wataalam wa sayansi wanasema kwamba sasa ni wakati wa kuweka kipaumbele cha upatikanaji wa chanjo dhidi ya maradhi hayo barani Afrika.

New-july
Shabari
Afrika
Bunia

Vifo kutokana na Covid duniani vyapungua zaidi tangu janga kuanza

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO,  anasema idadi ya vifo vilivyotokana na Covid 19 wiki iliyopita ilikuwa ndiyo ndogo zaidi iliyoripotiwa katika janga hilo tangu mwezi Machi  mwaka 2020.

Director-head
Shabari
Covid
Corona

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.