comparemela.com

Latest Breaking News On - Mpwapwa hon - Page 1 : comparemela.com

Waziri Ummy Mwalimu atoa siku 7 kwa vyombo vya usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi watatu Mpwapwa

Waziri Ummy Mwalimu atoa siku 7 kwa vyombo vya usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi watatu Mpwapwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametoa siku 7 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchunguza vifo vya wanafunzi 3 waliofariki kwa kufunikwa na kifusi katika Shule ya Msingi Mbori, Kata ya Motondo Wilayani Mpwapwa. Wakati huo huo Mhe. Ummy amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kuwaondoa Walimu wote wa shule ya Msingi Mbori kupisha uchunguzi unaondelea. Waziri Ummy ametoa kauli hiyo wakati aliposhiriki kuaga Miili ya wanafunzi 3 waliofariki kwenye ajali ya kufukiwa na Mchanga katika shule ya Msingi Mbori tarehe 27.07.2021.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.