Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 23.07.2021: Jadon Sancho ,Kane, Mbappe, Pogba, Varane, Kessie, Hazard, Xhaka
23 Julai 2021, 06:45 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Winga wa Uingereza Jadon Sancho anasema kujiunga na Manchester United ni ndoto inayotimia baada ya kumaliza uhamisho wake wa pauni milioni 73 kutoka Borussia Dortmund.
Sancho ndiye mchezaji wa pili mwenye gharama ya juu zaidi wa England wakati wakati wote nyuma ya mwenzake mpya wa United Harry Maguire.
Anajiunga na United kwa mkataba wa miaka mitano. Nitashukuru Dortmund kila mara kwa kunipa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, ingawa siku zote nilijua kwamba nitarudi England, Sancho, 21, alisema Nafasi ya kujiunga na Manchester United ni ndoto iliyotimia na siwezi kungojea kunawiri kwenye Ligi ya Premia.
Курсы валют на 23 июля - Информационно аналитическая интернет газета MK MK UA
mk.mk.ua - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from mk.mk.ua Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Valstybės sienos apsaugos tarnyba - Naujienos:Pasieniečių vado R Liubajevo kreipimasis į buvusius VSAT pareigūnus
pasienis.lt - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from pasienis.lt Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
A CRTVG celebra esta fin de semana o Día de Galicia cunha programación especial arredor do 25 de xullo | Información corporativa da CRTVG
crtvg.es - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from crtvg.es Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.