comparemela.com

Huru Wa Havari News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Gazeti la Raia Mwema,Tanzania lasimamishwa kwa siku 30

Serikali ya Tanzania Jumapili imesimamisha uchapishaji wa gazeti moja la kibinafsi kwa siku 30, baada ya kumhusisha mtu mwenye silaha, aliyetajwa na maafisa wa usalama kama“gaidi” ambaye aliua watu wanne, na chama tawala cha nchi hiyo.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.