Serikali ya Tanzania Jumapili imesimamisha uchapishaji wa gazeti moja la kibinafsi kwa siku 30, baada ya kumhusisha mtu mwenye silaha, aliyetajwa na maafisa wa usalama kama“gaidi” ambaye aliua watu wanne, na chama tawala cha nchi hiyo.
Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30 nchini Tanzania bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.