Latest Breaking News On - France theos - Page 1 : comparemela.com
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 08 09 2021:Shaqiri, Bellingham, Onuachu, Kounde, Wesley, Elneny
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 07 09 2021: Rice, Soler, Asensio, Pogba, Van de Beek, Ramsey, Foden
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi tarehe 17 07 2021: Kane, Grealish, Ronaldo, Bale, White, Trippier, Zaha, Locatelli
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 16.07.2021: Pellegrini, Abraham, Salah, Varane, Lingard, Vlahovic, Ajer, Emerson
16 Julai 2021, 06:45 EAT
Imeboreshwa Saa 2 zilizopita
Chanzo cha picha, Reuters
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti anawataka viongozi wa klabu kumsajili mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah,29, anayekipiga Liverpool ikiwa mchakato wa kumpata mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe utakwama msimu huu wa joto. (Fichajes - in Spanish)
Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Chelsea Tammy Abraham, 23 ambaye the blues pia wameashiria kuwa tayari kumuuza kwa Tottenham na Inter milan.Chelsea wanawalenga mshambuliaji wa Spurs na England Harry Kane mwenye umri wa miaka 27 na Romelu Lukaku wa Inter na Ubelgiji (Telegraph