comparemela.com

Latest Breaking News On - Colonel abdu - Page 1 : comparemela.com

Support Tinubu to succeed, Yobe District Head calls

Tanzania-Uganda: Ramani ya Afrika mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Amin angeshinda vita vya Kagera

Tanzania-Uganda: Ramani ya Afrika mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Amin angeshinda vita vya Kagera Saa 8 zilizopita Chanzo cha picha, TANZANIAGOV Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha tunakupakulia kumbukumbu za chanzo na matokeo ya vita hivyo .Leo tunaanza na jinsi mzozo huo ulivyoanza . Matokeo yake endapo yangeipa Uganda ushindi ,yangebadilisha kabisa ramani ya afrika mashariki kama ilivyo sasa . Chanzo kikuu cha mapigano hayo kilitokana na hatua ya rais wa Uganda wa wakati huo Idi Amin kutangaza kwamba eneo la Kagera lilifaa kuwa sehemu ya Uganda.Hatua hiyo ilimlazimu rais wa Tanzanzia wakati huo hayati Julius Nyerere kutangaza vita dhidi ya Uganda na baadaye kusaidia kumuondoa Amin madarakani .

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.