comparemela.com

Wafanyabiashara na raia wa Ujerumani kwa ujumla tayari wameonja maumivu ya ongezeko kubwa la bei za nishati, wakati nchi hiyo ikitafakari kujitenga na utegemezi wa gesi ya Urusi haswa baada ya uvamizi wake nchini Ukraine. Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia mpango ambao hivi karibuni serikali ya Ujerumani ilitangaza wa kuzisaidia kaya ili kumudu ongezeko la bei za bidhaa na nishati.

Related Keywords

Germany ,Russia ,German , ,Channelsa Kiswahili Program ,German Channels ,Kiswahili Program ,German Traders ,

© 2024 Vimarsana

comparemela.com © 2020. All Rights Reserved.