Live Breaking News & Updates on Channelsa Kiswahili Program

Stay updated with breaking news from Channelsa kiswahili program. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Mpango wa ruzuku ya nishati kwa Wajerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW

Wafanyabiashara na raia wa Ujerumani kwa ujumla tayari wameonja maumivu ya ongezeko kubwa la bei za nishati, wakati nchi hiyo ikitafakari kujitenga na utegemezi wa gesi ya Urusi haswa baada ya uvamizi wake nchini Ukraine. Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia mpango ambao hivi karibuni serikali ya Ujerumani ilitangaza wa kuzisaidia kaya ili kumudu ongezeko la bei za bidhaa na nishati. ....

Channelsa Kiswahili Program , German Channels , Kiswahili Program , German Traders ,