comparemela.com


Biden na Merkel wakutana mjini Washington
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliye ziarani nchini Marekani amefanya mkutano na mwenyeji wake, rais Joe Biden na kuzungumzia masuala kadhaa, ikiwemo mradi wa bomba la gesi kutoka Urusi kwenda barani Ulaya.
Kansela Angela Merkel na mwenyeji wake Joe Biden mjini Washington
Merkel ambaye amekuwa kiongozi wa kwanza wa serikali kutoka Ulaya kukaribishwa ikulu ya White House na rais Joe Biden tangu alipoapishwa mwezi Januari, amefanya ziara hiyo akinuwia kuimarisha tena mahusiano kati ya Berlin na Washington yaliyopwaya enzi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.
"Sisi siyo tu washirika bali pia ni mataifa yenye urafiki wa karibu" amesema Kansela Merkel baada ya mazungumzo marefu na rais Biden.

Related Keywords

Germany ,Russia ,States Merkel Joe ,Her College ,Chancellor Merkel ,Joe New January ,United States Merkel Joe ,Nevertheless Merkel ,ஜெர்மனி ,ரஷ்யா ,அவள் கல்லூரி ,அதிபர் மர்கல் ,

© 2025 Vimarsana

comparemela.com © 2020. All Rights Reserved.