Stay updated with breaking news from Joe new january. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Biden na Merkel wakutana mjini Washington Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliye ziarani nchini Marekani amefanya mkutano na mwenyeji wake, rais Joe Biden na kuzungumzia masuala kadhaa, ikiwemo mradi wa bomba la gesi kutoka Urusi kwenda barani Ulaya. Kansela Angela Merkel na mwenyeji wake Joe Biden mjini Washington Merkel ambaye amekuwa kiongozi wa kwanza wa serikali kutoka Ulaya kukaribishwa ikulu ya White House na rais Joe Biden tangu alipoapishwa mwezi Januari, amefanya ziara hiyo akinuwia kuimarisha tena mahusiano kati ya Berlin na Washington yaliyopwaya enzi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump. Sisi siyo tu washirika bali pia ni mataifa yenye urafiki wa karibu amesema Kansela Merkel baada ya mazungumzo marefu na rais Biden. ....