இல்லை திருமணமானவர் News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana

Stay updated with breaking news from இல்லை திருமணமானவர். Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Top News In இல்லை திருமணமானவர் Today - Breaking & Trending Today

Floyd Mayweather Jr: Bondia anayeamini mwanaume anapaswa kuwa na wanawake wengi


Floyd Mayweather Jr: Bondia anayeamini mwanaume anapaswa kuwa na wanawake wengi
27 Julai 2021, 06:59 EAT
Chanzo cha picha, Getty Images
Ni wanamichezo ambao uwezo,talanta na rekodi zao zitasalia katika kumbukumbu za historia kwa muda mrefu .Wengine wameshastaafu lakini wenzao bado wapo katika tasnia ya michezo.Wikii hii tunakupakulia safari za wanamichezo wa kipekee ambao wameng ara na kuacha mifano ya kuigwa katika aina mbali mbali ya michezo.Leo tunamuangazia bondia Floyd Mayweather Jr
Floyd Joy Mayweather Jr. amestaafu kutoka masumbwi na sasa anamiliki kampuni yake ya kusimamia mchezo huo wa masumbwi ama ndondi inayoitwa Mayweather Promotions.
Ni baba wa watoto watano, mkubwa ni Koraun, ana miaka 21, anayefuata ni binti yake Iyanna mwenye miaka 20, Zion kijana wa miaka 19 na binti yake wa mwisho ana miaka 16 anaitwa Jirah. ....

He Left School , Attributes Her , Life Her , Father Her , Her Mayweather , Cher Furthermore , Though Mayweather , Vicious The Periphery , Has Shown , With The Exception Jackson , Coming Out , Not Married , அப்பா அவள் , உள்ளது காட்டப்பட்டுள்ளது , வருகிறது ஔட் , இல்லை திருமணமானவர் ,