Live Breaking News & Updates on Tottenhama Everton
Stay updated with breaking news from Tottenhama everton. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Paris St-Germain italzimika kuuza hadi wachezaji 10 wa kikosi cha kwanza ili kusawazisha mahesabu yao baada ya kumsajili a Lionel Messi, 34. Kiungo wa Senegal Idrissa Gueye, 31, kiungo wa Uhispania Ander Herrera, 31, na 28- mshambuliaji wa zamani wa Argentina Mauro Icardi ni miongoni mwa wale ambao wanaweza kuuzwa. ....
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 26.07.2021: Halaand, Raphael Varane, Saul Niguez, Erik Lamela 26 Julai 2021, 06:25 EAT Chanzo cha picha, Reuters Manchester United inafikiria kumtumia mshambuliaji wake Anthony Martial 25, katika mpango wa kubadilishana wachezaji ili kumnunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Halaand 21. (Mundo Deportivo, via 90min) United pia wanaweza kumsajili kiungo wa hispania Saul Niguez kutoka kwa mabingwa wa La Liga Atletico Madrid kwa dau la £45m. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anahusishwa pia na vilabu vya Barcelona na Juventus. (Mail) Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Raphael Varane Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na Real Madrid kwa ajili ya kumsajili mlinzi wa Ufaransa Raphael Varane, 28, kwa dau la £42m. (Marca) ....
Tetesi za soka Ulaya Jumapili tarehe 25.07.2021 : Federico Chiesa, Joaquin Correa, Anthony Martial, Paul Pogba bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano 30.06.2021: Grealish, Ronaldo, Rabiot, Xhaka, Harrison, Abraham bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 29.06.2021: Ramos, Bale, Camavinga, Patricio, Belotti, Gilmour, Greenwood bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.