Live Breaking News & Updates on Tanzania Bukoba

Stay updated with breaking news from Tanzania bukoba. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Tanzania-Uganda: Ramani ya Afrika mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Amin angeshinda vita vya Kagera


Tanzania-Uganda: Ramani ya Afrika mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Amin angeshinda vita vya Kagera
Saa 8 zilizopita
Chanzo cha picha, TANZANIAGOV
Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979.
Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha tunakupakulia kumbukumbu za chanzo na matokeo ya vita hivyo .Leo tunaanza na jinsi mzozo huo ulivyoanza .
Matokeo yake endapo yangeipa Uganda ushindi ,yangebadilisha kabisa ramani ya afrika mashariki kama ilivyo sasa .
Chanzo kikuu cha mapigano hayo kilitokana na hatua ya rais wa Uganda wa wakati huo Idi Amin kutangaza kwamba eneo la Kagera lilifaa kuwa sehemu ya Uganda.Hatua hiyo ilimlazimu rais wa Tanzanzia wakati huo hayati Julius Nyerere kutangaza vita dhidi ya Uganda na baadaye kusaidia kumuondoa Amin mada ....

Jomo Kenyatta , South East , Kagera Minutes , Tanzania October , Host Uganda Lieutenant Colonel , Colonel Abdu , River Kagera , Host Uganda , Later New , New September , Lieutenant Colonel , Radio Uganda , Bukoba October , Tanzania Bukoba , Were Led , Tribune Uganda Yusuf , North Valley River Kagera , November Radio Uganda , South Valley River Kagera , June Chat , ஜோமோ கெநியாட , தெற்கு கிழக்கு , தான்சானியா அக்டோபர் , புதியது செப்டம்பர் , லெப்டினன்ட் கர்னல் , வானொலி உகந்த ,