Page 3 - Shabari Nair News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana
Stay updated with breaking news from Shabari nair. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Top News In Shabari Nair Today - Breaking & Trending Today
Waasi wa ki Houthi wa Yemen huenda wakabadili hali ya mapigano nchini humo wakati wakisemekana kukaribia kupata udhibiti wa mji muhimu uliopo kaskazini, huku wataalamu wakionya kwamba hali hiyo itaacha mamilioni ya wakimbizi hatarini. ....
Rais Samia pia ameihakikishia dunia kuwa chini ya usimamizi wake, Tanzania itaendelea kuwa mwanachama hai wa UN, mshirika wa kutegemewa katika ushirikiano wa kimataifa na “tutaendelea kukunjua mikono yetu kwa wote watakaotaka kutupokea na kushirikiana nasi.” ....
Marekani inajianda kutoa msaada wa chanjo za ziada millioni 500 za Covid 19 za Pfizer kwa mataifa kadhaa kote duniani, na hivo kufikisha jumla ya dozi billioni moja kufikia sasa. ....
Karibu waandamanaji 300 wamevamia bunge la Namibia Jumanne, wakati lilipokuwa likijianda kupitisha msaada wa dola billioni 1 wa Ujerumani kama fidia kutokana na mauaji ya kimbari dhidi ya Wanamibia wa kabila la Herero na Nama yaliyotekelezwa na Ujerumani kati ya mwaka wa 1904 na 1908. ....
Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anasema barua ya Taliban ya kutaka wapewe kiti kwenye Umoja wa mataifa ilitumwa kwa kamati ya nchi 9 wanachama, ikiwemo Marekani, China, na Russia. ....