Stay updated with breaking news from Sexa development. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Rais Magufuli anakabiliwa na kibarua cha kukidhi matarajio ya kutimiza ahadi katika sekta za Afya, elimu, kilimo, uchumi, miundombinu, kubadili taswira hasi ya serikali, pamoja na ushirikiano miongoni mwa mawaziri. ....