Live Breaking News & Updates on Province Fallow

Stay updated with breaking news from Province fallow. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Unaambiwa Mbunge wa CCM aliyejiuzulu afunguka Makubwa


Mbunge aliyejiuzulu afunguka
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa Jimbo la Konde visiwani Zanzibar lipo wazi na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa hivi karibuni. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dk Wilson Mahera kupitia taarifa yake kwa umma jana.
Dk Mahera alisema NEC ilipokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitaarifa kuwa, Mbunge Mteule wa Jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki, alikitaarifu chama hicho kuwa hayupo tayari kuwawakilisha wananchi wa Jimbo la Konde kutokana na changamoto za kifamilia.
Alisema kutokana na hilo, NEC inautaarifu umma kuwa jimbo hilo lipo wazi na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa. “Tume ifanya hivyo kwa kuwa ilikuwa bado haijamjulisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kuhusu kukamilika kwa uchaguzi katika Jimbo la Konde na kuchaguliwa kwa Mbunge huyo Mteule. Pia Tume ilikuwa haijamtangaza kwenye Gazeti la Serikali kama ilivyoelekezwa katika Kifungu cha 81 (c) cha Sher ....

Parliamenta Republica Union , Commissiona Nationa Election , Dial Here On Number Your Free , Province Fallow , Secretary General , Also Commission , North Pemba , Province It If More Comes , செயலாளர் ஜநரல் ,

CCM yasema Rais Magufuli kutoongeza muda madarakani | Matukio ya Kisiasa | DW

CCM yasema Rais Magufuli kutoongeza muda madarakani | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Office Eventsa Political , Office Events , Mphrey Slowly , Province Fallow , Khatib Sa Id Comes , Tanzania To Donate , Cent Shinji , Secretary General , Chadema Slowly , அலுவலகம் நிகழ்வுகள் , செயலாளர் ஜநரல் ,