Officer Head News Today : Breaking News, Live Updates & Top Stories | Vimarsana
Stay updated with breaking news from Officer head. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Top News In Officer Head Today - Breaking & Trending Today
HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE MWANAUME mmoja aliyejulikana kwa jina la Fredrick Opiyo mwenye umri wa miaka 50 amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni ya Rurago kaunti ya Muranga nchini Kenya huku kifo chake kikileta utata.
Ripoti ya polisi imesema kuwa huenda jamaa huyo alimeza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume kupita kiasi. Mlinzi wa gesti hiyo alitoa taarifa katika Kituo cha Polisi cha Maragua baada ya mpenzi wa jamaa huyo waliyekuwa naye kumfahamisha kuhusu kifo cha mwanaume aliyekuwa naye chumbani.
Mary Mwende alisema mpenzi wake Fredrick Opiyo alikuwa amekodi chumba cha kulala majira ya saa tatu usiku, naye mwanadada huyo aliwasili majira ya saa nne usiku, siku ya Jumatatu, Julai 26, 2021. ....