Stay updated with breaking news from North kim south. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Korea Kaskazini imerudia kitisho cha kujibu luteka za kijeshi za Marekani na Korea Kusini inazodai ni mazoezi ya uvamizi, huku Marekani ikisisitiza, mazoezi hayo ni ya kujilinda ili kudumisha usalama wa Korea Kusini. ....