Live Breaking News & Updates on Germany Merkel Chancellor
Stay updated with breaking news from Germany merkel chancellor. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
WHO yafungua kituo kipya cha kufwatilia magonjwa ya milipuko | Matukio ya Kisiasa | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Ujerumani: Vifo kutokana na mafuriko vyapindukia watu 140 Vifo vinazidi kuongezeka wakati Ujerumani ikitafakari uharibifu uliosababishwa na mafuriko. Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier awatembelea waathiriwa wa mafuriko. Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, ametembelea jimbo la North Rhine-Westphalia ambalo limeathirika zaidi na mafuriko. Steinmeier alionekana ni mwenye majonzi alisema anaomboleza pamoja na waliopoteza ndugu au marafiki. Amesema masaibu yaliyowafika familia hizo yamewavunja moyo wajerumani. Steinmeier amesema baada ya mkutano na waokoaji katika mji wa Erftstadt kwamba watu wengi wamepoteza kila kitu walichokuwa nacho kwenye maisha yao kama mali zao na nyumba zao na vitu vingine vingi. Wanajeshi wakishughulikia athari za mafuriko katika mji wa Erftstadt ....
Ujerumani kulegeza masharti kwa wasafiri kutoka Uingereza | Matukio ya Kisiasa | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Uchaguzi wa jimbo la Saxony-Anhalt mtihani kwa chama cha CDU | Matukio ya Kisiasa | DW dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.