Stay updated with breaking news from Coffin the queen. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
Milolongo mirefu ya watu inashuhudiwa kando kando ya ukingo wa mto Thames wakitarajia kuuona mwili wa Malkia ingawa mamlaka nchini Uingereza imeonya kuwa watu hao huenda wakasubiri kwa muda mrefu kuuona mwili huo. ....
Hayati Malkia Elizabeth II wa Uingereza jeneza lake siku ya Jumatano limewasili Ukumbi wa Westminster, London ambapo atawekwa hapo katika bunge. Jeneza hilo lilotokea Kasri ya Buckingham. ....