Live Breaking News & Updates on Chelseaa Aston

Stay updated with breaking news from Chelseaa aston. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 07.07.2021: Sterling, Bale, Rogers, Tapsoba, White, Williams, Hennessey, Griezmann, Umtiti


Tetesi za soka Ulaya Jumatano 07.07.2021: Kane ,Sterling, Bale, Rogers, Tapsoba, White, Williams, Hennessey, Griezmann, Umtiti
7 Julai 2021, 06:17 EAT
Imeboreshwa Saa 3 zilizopita
Mshambuliaji wa England Harry Kane ni hatari sawa na Christiano Ronaldo, kwa mujibu wa mkufunzi wa Denmark Age Hareide.
England inacheza dhidi ya Denmark katika nusu fainali ya michuano ya Euro 2020 wakiwa na matumaini ya kufika fainali yao ya kwanza kuu tangu ile ya kombe la dunia la 1966.
Harry Kane ni kama Ronaldo , alisema. Mpatie fursa na atafunga , hio ndio maana yeye ni hatari sana .
Chanzo cha picha, Getty Images
Maelezo ya picha,
Raheem Sterling
Nyota wa Manchester City na England Raheem Sterling yuko tayari kusikiliza ofa ya kuondoka klabuni hapo. Lakini meneja Pep Guardiola anataka winga huyo mwenye umri wa miaka 26 kubakia Etihad, licha ya Real Madrid kuonyesha kumuhitaji (Athletic). ....

United Kingdom , Chelseaa Aston , Europe Wednesday , Coach New , Biggest Names , Nevertheless The President , ஒன்றுபட்டது கிஂக்டம் , யூரோப் புதன்கிழமை , பயிற்சியாளர் புதியது , மிகப்பெரியது பெயர்கள் ,