Stay updated with breaking news from Bakari msangi. Get real-time updates on events, politics, business, and more. Visit us for reliable news and exclusive interviews.
HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya ya Arusha ASP Gwakisa Minga ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi ya jinai 105/2021 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjrao Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili kesi ambayo inanguruma katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha. ASP GWAKISA anakuwa ni shahidi wa saba kwa upande wa mashtaka baada ya shahidi wa sita Bakari Msangi ushahidi wake kufungwa ikiwa umechukua siku sita kutokana na kuibuka mvutano wa hoja ya kuwasilishwa ama kutowasilishwa kwa nyaraka ya Maelezo alivyoandikisha Polisi kutumika kama Kielelezo Mahakamani hapo ikionekana kuchukua nafasi Kubwa zaidi wakati wa Ushahidi wake. ....
Korti yatupilia mbali ombi la utetezi kesi ya Sabaya udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Shahidi Kesi ya Sabaya Aangua Kilio Mahakamani "Alitaka Kunipiga Bastola" udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Shahidi amtaja JPM kesi ya kina Sabaya udakuspecially.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from udakuspecially.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.