Marais hao wawili wanatarajiwa kuhudhuria mkutano wa kilele katika mji wa Uzbekistan wa Samarkand wiki hii, ni mara ya kwanza watakuwa wanakutana tangu Urusi kuivamia Ukraine. Lakini rais wa Urusi anatarajia nini na Xi wa China anatafuta nini kama malipo?