comparemela.com

Latest Breaking News On - Why tanzania - Page 2 : comparemela.com

Covid-19: Nini kimebadilika Tanzania tangu kifo cha Magufuli?

Covid-19: Nini kimebadilika Tanzania tangu kifo cha Magufuli? Na Peter Mwai Maelezo ya picha, Serikali sasa imekiri kwamba corona ipo na ni tatizo Rais Samia Suluhu alichukua hatamu za uongozi Tanzania takriban miezi mitatu iliyopita kutoka kwa John Magufuli, aliyefahamika sana kwa kutilia shaka mambo mengi kuhusu corona. Rais Magufuli alifariki dunia mwezi Machi kutokana na matatizo ya moyo, na kifo chake kilitoa fursa ya kuwepo mtazamo mpya katika vita dhidi ya Covid-19. Je, Tanzania imebadilika kwa kiasi gani tangu kuondoka kwa Magufuli? Rais Samia amesema nini kuhusu Covid? Kuna tofauti ya wazi katika msimamo kuhusu vita dhidi ya virusi vya corona chini ya Rais Samia katika baadhi ya mambo.

Țara unde ajungi fără test COVID - „În Tanzania nu există teama de pandemie, doar teama de a muri de foame

Țara unde ajungi fără test COVID - „În Tanzania nu există teama de pandemie, doar teama de a muri de foame
ziarulevenimentul.ro - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from ziarulevenimentul.ro Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

© 2024 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.