Tahadhari ya usalama imewataka Wamarekani kuepuka kwenda uwanja wa ndege, na kusema wale walio karibu na uwanja huo, ikiwemo lango la Kusini (Airport Circle), Wizara ya mpya ya Mambo ya Ndani, na lango karibu na kituo cha petroli cha Panjshir.
“Shambulizi la angani la ndege hiyo iliyokuwa haina rubani lilitokea katika jimbo la Nangarhar la Afghanistan,” Kapteni Bill Urban, msemaji wa kikosi cha Marekani cha Central Command, amesema katika taarifa yake.“dalili za awali zinaonyesha tumemuua aliyekusudiwa.