comparemela.com

Latest Breaking News On - Vessel her - Page 1 : comparemela.com

Richard Branson: Bilionea kufanya ziara ya anga za juu mwezi huu

Richard Branson: Bilionea kufanya ziara ya anga za juu mwezi huu 2 Julai 2021, 07:59 EAT Chanzo cha picha, Virgin Galactic Sir Richard Branson ametaja tarehe ambayo atafanya safari ya anga za juu. Safari hiyo itakuwa Julai 11, au siku za karibuni baada ya tarehe hiyo. Atakuwa abiria wa nyuma katika roketi ambayo kampuni yake ya Virgin Galactic iliitengeneza nchini Marekani kwa karibu miongo miwili. Chombo hicho kinaweza kuruka katika urefu wa kilomita 90 (futi 295,000), na kuweza kuwapa fursa abiria waliopanda kuweza kuangalia mandhari ya dunia kutoka juu kwa dakika chache. Nia ya Sir Richard ni kuanzisha biashara ya huduma ya safari za anga. Watu wapatao 600 tayari wamelipia ili waweze kusafiri katika mpango huo.

Descubre cuáles son los chollos del día

Descubre cuáles son los chollos del día
mundodeportivo.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from mundodeportivo.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.