Taliban: Muda wa majeshi kuondoka Afghanistan hautaongezwa | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Wataliban hawataongeza muda wa kuhamishwa watu | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Umoja wa Mataifa wataka ulimwengu kuisaidia Afghanistan | Matukio ya Kisiasa | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Dola Milioni 100 kuwasaidia wakimbizi wa Afghanistan
Rais wa marekani Joe Biden ameidhinisha dola milioni 100 katika kushughulikia dharura ya wakimbizi inayohusiana na hali nchini Afghanistan
Katika taarifa yake, Ikulu ya White House imesema fedha hizo zitatoka kwenye mfuko wa dharura na ule wa kusaidia wakimbizi kwa lengo la kukabiliana na dharura ambayo haikutarajiwa ya wakimbizi, wahanga wa mzozo na baadhi ya watu ambao wako hatarini kutokana na hali ilivyo nchini Afghanistan.
Fedha hizo zitawasaidia wale wanaoomba visa maalumu SIVs, ambapo karibu raia 20,000 wa Afghanistan walikuwa wakifanya kazi ya ukalimani na kazi nyingine kuisadia Marekani wakati wa vita na sasa wanahofia kuadhibiwa na Taliban. Fedha hizo zinaweza kukusanywa kupitia michango ya ufadhili wa mashirika ya kimataifa, mashirika yasiyo ya kiserikali na yale ya Marekani, iliongeza taarifa hiyo.