comparemela.com

Latest Breaking News On - Switzerland goalkeeper - Page 1 : comparemela.com

На чемпионате Европы появились претенденты на медали: в первом полуфинале сыграют Италия и Испания

На чемпионате Европы появились претенденты на медали: в первом полуфинале сыграют Италия и Испания
bfm.ru - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bfm.ru Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.

Ufaransa yaondolewa Euro 2020 | Michezo | DW

Ufaransa yaondolewa Euro 2020 Michezo miwili katika viwanja viwili tofauti ilikuwa na msisimuko wa aina yake, kule Copenhagen, Denmark Uhispania imeichapa Croatia bao 5-3 na Bucharest Ufaransa imefungishwa virago na Uswisi kwa kupigwa mabao 5-4. Michezo miwili katika viwanja viwili tofauti ilikuwa na msisimuko wa aina yake, kule Copenhagen, Denmark Uhispania imeichapa Croatia bao 5-3 na Bucharest Ufaransa imefungishwa virago na Uswisi katika mchuano huo wa Euro 2020 kwa kupigwa mabao 5-4 ya mikwaju ya penati ikiwa ni baada ya kutoka suluhu wa mabo 3-3 katika duru ya 16 ya mchuano huo kabambe. Katika mchezo wa awali, wachezaji wa Uhispania  Alvaro Morata na Mikel Oyarzabal waliwainua washabiki wao uwanjani baada ya kuingiza nyavuni mabao mawili katika muda wa nyongeza na hivyo kuifanya timu yao kuibuka na ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Croatia.

© 2025 Vimarsana

vimarsana © 2020. All Rights Reserved.