Watu 212 wamekufa kwenye ghasia Afrika Kusini
Idadi ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku iliyopita.
Waziri wa nchi katika ofisi ya rais, Khumbudzo Ntshavheni, ameuambia waandishi habari kuwa vifo vipya vimetokea katika jimbo la kusini mashariki la KwaZulu-Natal ambalo ndiyo kitovu cha machafuko yanayoshuhudiwa.
Hata hivyo kiongozi huyo amesema hali ya utulivu imeanza kurejea na hadi sasa zaidi ya watu 2,500 wamekamatwa kutokana na vurugu za karibu wiki nzima zilizohusisha uporaji wa mali na uchomaji wa moto majengo ya biashara.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini Ni wazi kwamba matukio yote haya ya vurgu na uporaji yalichochewa kulikuwa na watu waliopanga na kuyaratibu, amesema Ramphosa wakati alipolitembelea jimbo la KwaZulu-Natal, kitovu cha machafuko hayo mabaya zaidi kuikumba Afrika Kusini tangu kukomeshwa kwa enzi ya ubaguzi wa rangi.
Viongozi wa Afrika Kusini waeleza wasiwasi wa ghasia kuongezeka
voaswahili.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from voaswahili.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Wafuasi wa Jacob Zuma wataka aachiliwe huru - BBC News Swahili
bbc.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from bbc.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.
Wazanzibari kupokea chanjo ya Covid-19 kabla Hija? | Matukio ya Afrika | DW
dw.com - get the latest breaking news, showbiz & celebrity photos, sport news & rumours, viral videos and top stories from dw.com Daily Mail and Mail on Sunday newspapers.